'Biashara ni Matangazo'
Tupo katika wakati ambapo bidhaa na huduma nyingi sana zinafikishwa sokoni kwa njiani ya mtandao. Wamiliki wa tovuti za matangazo wanatengeza hela ndefu kwa njia hiyo na...
Wanajf wenzangu naomba ushauri wenu muhimu ili wasijesema nimeuingia mji kwa pupa. Binafsi nimepata mkopo wa Tsh milioni 10 toka kwa mfadhili wangu. Utafiti wa haraka haraka nilioufanya nabaini...
Habari wa ndg.naomba msaada kwa anaejua biashara hii faida na changamoto zake maana kuna eneo nimeona kuna butcher moja tu hivyo likanijia wazo hilo.Najua jf ni sehemu ambayo unaweza kufanyia...
mananasi yanauzwa makubwa yanapendeza yanaanzia shilingi 2000 na kuendelea na pia unaweza kuchukua hata kwa jumla
namba ya simu; 0658377013
0712660380...
Kwa mwenye taarifa jamani ani pm, natafuta saana hela Mimi ILA siipati na hata ikipatikana Ni hela mbuzi Tu, sasa basi kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu upatikanaji wake kwa wingi naomba ani pm.
Habari wana Jamvi,
Najua kuna post zilizopita kuhusu soka la vitunguu maji, lakini baada ya kupitia nimeona the latest ni 2014. Ninaomba kujua kama mtu yeyote anafahamu soko bora la vitunguu kwa...
Mimi ni mjasiriamali najishughulisha na,shughuli za kuuza nguo yaani nina duka la nguo naitaji mkopo wa milioni 3 ili nikuze biashara yangu.
Duka langu mali niliyonayo sina nyumba wala kiwanja...
WADAU HABARI,
Nina wazo la kibiashara la kutoa huduma fulani kupitia makampuni ya simu nahitaji mbia/business partner mwenye ujuzi wa maswala ya mobile money/ telecommunication business. Nina...
Ndg wanajamvi nahitaji kuanzisha biashara ya uuzaji wa vocha za simu kwa bei ya jumla,
Je inahitaji pesa kiasi gani ya mataji kuanzisha hiyo biashara?
Naombeni mnijuze ndg Zangu.
ndugu watanzania, mimi Nina wazo la kuendeshwa kiwanda cha kuboresha mazao ya nyuki kwa kuzalisha asali na nta au wax.
hivyo kama upo interested unakaribishwa kwa masharti yafuatayo
kwanza...
Rejea habari hapo juu .Samaki aina ya kambale wanauzwa ,wapo Mbezi mpiji magoe . Uzito (500gram-1.5kg), kilo Kilomoja ni TSH 6000.00,wasiliana kwa 0755305766
Hahaha!!! naona jinsi unavoshangaa na unataka kuniandalia bonge la tusi. Yaani hapo unajiuliza bia moja ya Tzs 2,500 inawezaje kubadili maisha ya mtu?
Penginepo wewe ni mlevi kama mimi katika...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.