Msaada: Viatu na mikoba ya kike kati ya Mbeya na Dar

Msaada: Viatu na mikoba ya kike kati ya Mbeya na Dar

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Wadau wa biashara hii, naomba ushauri wenu wa wapi ni rahisi kununua bidhaa tajwa kwa jumla kati ya mbeya na Dar kwa mimi niliyeko songea hasa kwa kuzingatia upatikanaji wa bidhaa,bei nk. Asanteni.
 
Unahitaji bidhaa mtumba au dukani??

kama ni vya dukani ni pm kwakua nafanya biashara hyo
 
Back
Top Bottom