Mwanza umeme mgao wa masaa 18

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Yaani tangu nimekuja huku umeme ni shida. Jana umekatika saa kumi na mbili alfajiri n umerudi saa saba kasoro usiku na sasa ninavyoandika umekatika saa kumi na mbili asubuhi hii. Nilitegemea mabwawa yanayozalisha umeme yamejaa maji kwa mvua hizi lakini pia nakumbuka JK kabla hajakabidhi ofis alizindua umeme wa gesi lakini bado unafuu hakuna! Vile vile nijuavyo mimi Mwanza inajitegemea kwa kuzalisha megawatt 60 ambazo naamini kama zote zingakuwa zinazalishwa tatizo hili lisingekuwepo. Hofu yangu, je watu wanacreate problem ili waje na solution ya ki-richmond richmond au ki-iptl iptl? Kabla ya uchaguzi kuna matamko yalitolewa nakumbuka la.mwisho lilikuwa linasema oooh shida ya mgao mwisho november 20 kumbe ni porojo as usual.
 
mkuuu hilo ni chronic problem tangu na tangu... imekuwa ndio ajenda ya viongozi wote wanapokutana na wanainchi wao kujadiri shidaa kuanzia ngazi ya tarafa... blaah blaah lakini mwisho siku nothing is done to solve it
 
Bandugu, ile gesi ya kutoka "Ntwara" si ilishafika Dar na Mashine za kuchakata umeme si tulishaambiwaga kuwa zimewashwa? Au umeme wa gesi ni "FOR EXPORT ONLY"?
 
Back
Top Bottom