Ujasiriamali hua unaanza kama ifuatavyo (Kitabu)

Ujasiriamali hua unaanza kama ifuatavyo (Kitabu)

Joealexist

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
21
Reaction score
10
Jipatie kitabu hiki, upate majibu muhimu ambayo kila mjasiriamali, alitakiwa kuyatafutia majibu.

1449572765273.jpg
 
Sasa wewe kama mfundisha ujasiriamali ilitakiwa uwe mfano wa mbele kabisa kuonyesha u-sharp katika kazi yako, sasa ngoja tukufundishe ujasiriamali maana naona umeshindwa.

Hiyo thread yako uliyoanzisha ukatupia picha peke yake haitokuletea mteja hata mmoja, sababu ni hii hapa, hujaonyesha chochote kile cha kumconvince mtu kua kitabu chako ni worthy buying hata kwa hiyo 10K, yaani mara mia ungetunga story ya uongo kuliko kuja with nothing. Angalia watu wanaouza story zao kama Rich Dad Poor Dad, wanakuja kukupangapanga na maneno maneno hadi mtu unadanganyika kutoa hela yako kununua kitabu. Ila mkuu u came with nothing, yaani zero information, i seriously doubt unaweza kumfundisha mtu ujasiriamali.

Na kuna networks mbalimbali siku hizi za kufanya kazi yako iwe popular, mfano ungeweza kufungua facebook page ukawa unapost different success stories kuvutia watu, unapost angalau quote moja moja from the book daily pia kuvutia watu, ukaiadvertise page yako kwa watu wenye common interests. Thats how you market your work sio kuja na kusema Jipatie kitabu hiki alafu ukataja bei, hakuna atakayekuja hata mmoja.
 
Back
Top Bottom