wadau mwaka huu baada ya kusoma michango ya baadhi ya wadau niliamua kujiingiiza kwenye hiki kilimo hapa nakaribia kuvuna naomba ambae anaweza kujua soko zuri la vitunguu anijulishe nimelima mbeya...
ORiflame ni kampuni ya Sweden ambayo inasambaza
cosmetics, perfume za kike na kiume .ni networking
business ambayo kujiunga kwake ni sh elf9 tu na
kuchukua mzigo kwa laki moja tu.
Unachotakiwa...
kwenu wadau wenye ufahamu na hili, bila shaka wengi wetu kule tunakofanyia/njiani tunamopita kuelekea kwenye pilika zetu za kila siku tumekuwa tukikutana na watu pembezoni mwa barabara wakiwa na...
Justice Farm Products inawatangazia kuwauzia Vifaranga na Kuku wakubwa wa Kienyeji kama wanavyoonekana katika picha hizo. Bei za bidhaa zetu ni kama ifuatavyo:-
Kuku Kienyeji Wakubwa -...
I have three project.
One is located at Kimbiji kwa chale 45 kms from ferry the second is at puna 48 kms from ferry both are on the ocean side within 1.5kms while some plots are beach plots.
The...
Habari... Kama kuna watu wa EATV anapita humu au kuna wa2 ambao wameangalia kipindi cha mtambuka. Naomba msaada wa kuunganishwa na mjacriamali anaitwa FERUZ...
Natanguliza shukurani zangu kwa wajasiria mali na wadau wote wa sekta ya ufugaji. Niseme tu kwamba mmekua na mchango mkubwa katika kusaidia kuinua uchumi wa Watanzania.
Leo hii naomba ushauri...
Hi wanajamvi, kuna kipindi nilinunua eneo langu kubwa baadae nikagundua na kuambiwa kuwa ni eneo linalotuamisha maji, nafikiria sana kuweka kilimo cha matunda na miti, sasa kila nikitaka kupanda...
Si tatizo geni hasa Kwa vijana wengi ambao wana aanza kutafuta maisha nikiwemo na mimi mwenyewe kua na tabia ya "matumizi mabaya ya fedha " binafsi napenda sana luxury stuffs sio lazima kiwe na...
Wadau kama mnavyojua maisha kwa sasa yamekua magumu na inahitaji kutumia nguvu na akili ya ziada hivyo katika kujibana kwangu nimedunduliza sh.600000)laki sita.
Hivyo nimekuja kwenu mnipe wazo...
Ndugu wajasiliamali wenzangu naomba kuulizia hali ya soko ipoje kwa wale wanaofuga kuku wa nyama yaani Broilers kwa mikoa ya Dar es salaam na Morogoro. je ni wakati gani yaani kuanzia January...
kuna soko nimeliona la mikate na maandazi kijiji fulani,naona panafaa kufungus kabekary kadogo,<kijiji kins watu kama elfu tano ,ukijumlisha na vijiji vys pembrni wanafikia elfu 10+
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.