Elerai
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 474
- 139
Kulingana na kichwa hapo juu nahitaji kufanya biashara ya stationary mkoan nimeshalipa pango. shida yangu ni mashine y kopy and printing kwa mtaji huo mashine zle kubwa haitoshi .ktk pitapita zangu nkapata hii ndgo inaitwa HP LASERJET PRINTER MFN M125 FN nauliza wanaoifaham je wino wake ni rahis kurefill au ndo laki au nishaurin ndug kabla sijaingiaa mkenge ktk hizi biashar hyo mashine ni 460000/