Naombeni wenye uzoefu na usimamizi wa salon ya kiume waniambie namna sahii bila kuwa na usumbufu. Je natakiwa kuwalipa kwa mwezi wafanyakazi au wao wanilipe kwa siku na wajilipe wenyewe??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.