Rais Mh Magufuli akisoma bango toka kwa kina mama Arusha wakiomba awafikirie katika suala zima la kupewa mikopo kwa ajili ya ujasiriamali. Tunamwomba Mh JPM awafikirie mama zetu,dada zetu, wake zetu bibi zetu, watoto wetu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.