F Fetty G Member Nov 11, 2015 5 2 Jan 19, 2016 #1 Karibu wadau tunasambaza ubuyu wa zanzibar jumla kwa rejareja karibuni sanaaaa. Whatsap/call/sms 0712177449
Karibu wadau tunasambaza ubuyu wa zanzibar jumla kwa rejareja karibuni sanaaaa. Whatsap/call/sms 0712177449
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Jan 19, 2016 #2 Ubuyu tena! Hebu cheki na Nifah, Evelyn Salt fasta.
Nifah JF-Expert Member Feb 12, 2014 33,210 74,840 Jan 19, 2016 #3 Raimundo said: Ubuyu tena! Hebu cheki na Nifah, Evelyn Salt fasta. Click to expand... Mimi sio mdau wa ubuyu huu mkuu.
Raimundo said: Ubuyu tena! Hebu cheki na Nifah, Evelyn Salt fasta. Click to expand... Mimi sio mdau wa ubuyu huu mkuu.
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Jan 19, 2016 #4 Nifah said: Mimi sio mdau wa ubuyu huu mkuu. Click to expand... Unajua jamaa hakueleza vizuri ni ubuyu wa namna gani, mi nikajua ubuyu ni ubuyu nisaidie kumtafutia wateja.
Nifah said: Mimi sio mdau wa ubuyu huu mkuu. Click to expand... Unajua jamaa hakueleza vizuri ni ubuyu wa namna gani, mi nikajua ubuyu ni ubuyu nisaidie kumtafutia wateja.