Natafuta kuku wa kienyeji wa kufuga

chikuyu

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
277
179
Wana JF, Salaam.

Ninatafuta kuku wazuri wa kienyeji wa kufuga, nahitaji majike 10 na jogoo mmoja. Ninataka kwa ajili ya kufuga nyumbani, hao ndo watakuwa kama wazazi then watazaliana!! Mwenye nao wenye sifa za kutaga mayai mengi na kustahimili magonjwa mbalimbali please PM me!! By now Niko Dodoma..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom