Wako wapi wanunuzi wa madini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi wanunuzi wa madini?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by GAZETI, Jul 21, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
  madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
  kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
   
 2. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,672
  Trophy Points: 280
  We ni broker ama kama we ni mwenye mali niambie wapi upo nikupeleke Nairobi najua wapi pa kuuzia.Ila 10% itanihusu.
   
 3. B

  BARRY JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  PM haraka
   
 4. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Nawashukuruni, wiki hii nitakutanishwa na mnunuzi.
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hapo bold kuwa muangalifu yasijekukuta ya wale jamaa wa mahenge. Nafahamu bank huwa wananunua madini, jaribu kupita kwenye mabank kufahamu taratibu za uuzaji na bei
   
 7. M

  Mzee Mukaruka JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2013
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 254
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mwana JF leo ni karibu mwaka mbona huleti feedback hata kama ni skeleton tu!? Funguka bana kama jina lako lilivyo GAZETI.
   
 8. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Mkuu niliuza, nilipata mil12.
   
 9. mayome

  mayome Member

  #9
  May 3, 2013
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwan yanapatikana wap mkuu,? ulichimba mwenyewe au ylinunua? maisha magumu bana na hiz biadhara zetu za matunda noma bana yanaoza tu! Co vibaya kama una habar njema ukanipa PM mkuu!
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Mimi niliyapata Msumbiji, tena ni hukuhuku mpakani na TZ si mbali sana
  kutoka Mweda hadi huko tena huko sikwenda kwa lengo la madini nilipeleka
  Laptop.
   
 11. M

  Mzee Mukaruka JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2013
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 254
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Hongera sana Mkuu. Naamini kwa sasa ufukara au "umasikini" kwako ni hadithi. Hongera sana, Mayope anasubiri maelezo naye afuate hizo nyayo. Ni kweli Msumbiji kuna madini sana na hawajatumia sana. Tunasubiri.
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu anaitwa Msuya yupo Knyama opp na soko, ni bonge ya expoter!!!!!!!!!! Afu anaaminika mpare yule!
   
 13. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Unafanya biashara hii ya madini...mimi nataka kuianza na natafuta maeneo/wauzaji...kama unaufahamu zaidi wa biashara hii unaweza kuni-pm.thanks
   
 14. M

  M.A.W.I Member

  #14
  May 21, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kaka naona we ulipata msaada nami naitaji msaada wa wanunuzi wa madini aina ya kasheshe
  maana ninayo lakini sijajua soko liko wapi plz......plz.......
  nisaidie
   
 15. d

  dav22 JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mkuu haya kasheshe ndo aina gani tena aisee??
   
 16. M

  M.A.W.I Member

  #16
  May 21, 2013
  Joined: Apr 29, 2013
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu haya ni madini fulani hivi yapo meusi mno
   
 17. d

  dav22 JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  du sasa tuseme ni mkaa au ni nn??maana weusi huo he he he he he he
   
 18. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #18
  May 22, 2013
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu GAZETI,

  Naomba tuwasiliane na ingawa kwa sasa sina mtu anayetaka kununua. Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kuwa watu wanataka uwalipe hela wakati mzigo hujauona. Kama utakuwa na mzigo mkubwa na upo tayari kuupeleka Dubai au Switzland ambako wanapima (kwa Almasi) au kuisafisha dhahabu na hapo mnauziana kwa bei ya Pure Gold basi wewe tuwasiliane na ntajaribu kukuulizia wanunuzi.

  Kuna jamaa wengi wametapeliwa pesa zao na jamaa mmoja kutoka hapa Poland aliibiwa hela zake Bongo na aliporudi akapata ugonjwa wa moyo na alishajifia siku nyingi. Hivyo uaminifu ndiyo huwa tatizo kubwa hasa kwa wale wanaotaka kuuza madini nje ya nchi. Ila kama una COPPER yaani Shaba basi tuwasiliane kwani hiyo inahitajika sana kwa sasa.

  Kama kuna mtu ana Aluminium hasa wale walioko Mzumbiji basi tuwasiliane haraka sana.

  Angalizo tu kidogo: Hakuna malipo yoyote yatatolewa hadi mnunuzi awe na uhakika wa mzigo na mzigo akabidhiwe Agent wa kuusafirisha. Inashangaza mtu anauza tani 1,000 ya Copper ila hana fedha za kuuchukua mzigo kutoka hapo kwake na kuupeleka Bandarini na anatataka malipo kidogo ya kuanzia kazi. Mtu kama huyu huwa hata sina hamu ya kuendelea kuwasiliana naye. Mzigo ukishahakikishwa ni wa uhakika, katika Neutral point au kampuni yenye kupima na kuchukua mzigo, basi malipo yatafanyika hapo hapo na si kabla.
   
 19. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #19
  May 22, 2013
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Lara 1, kama anaaminika basi naomba contact zake au mjulishe contact zangu tuwasiliane.

  Kama anajua biashara za kimataifa ambazo anaweza kufanya na Makampuni na si watu binafsi basi tuwasiliane. Ila kama ana deal na kiwango kidogo na watu binafsi tu, basi kwenye makampuni itakuwa ngumu sana kwake. Naandika hivyo baada ya kuwa na ka uzoefu kidogo kwani kwa Tz, wengi wanataka kufanya biashara za uchochoroni ili wamtapeli mtu au Wakwepe kodi. Sasa ikishakuwa kufanya biashara na kampuni au shirika, inawawia ngumu sana kwao.

  Mawasiliano yangu: email>> SSAMBALI@HOTMAIL.COM. Simu: +48-503535735.


   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Nitampa! Akiwa intersted atakutafuta!
   
Loading...