Ushauri: Jinsi ya kujiunga na Forever Living

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,433
1,768
Nimevutiwa sana na hii kampuni. Naona watu wanapiga hela kinoma humo. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga nao. Nataka kile kitengo cha kuwa mtoa mada.
 
mbona nasikia ni usanii mwingi sana huko?? ukiona unaambiwa kitu fulani kirahisi alafu kina lipa saana hadi unaona maisha ni marahisi ile kushangaza jua sio cha kweli
 
Nimevutiwa sana na hii kampuni. Naona watu wanapiga hela kinoma humo. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga nao. Nataka kile kitengo cha kuwa mtoa mada.
thubutu usipotoshe watu.wamejaza mabidha ya forever living yameanza kutoa kutu hayana wateja na hela wamepigwa bidhaa kimeo
 
Back
Top Bottom