Kuwa mfugaji

Kuwa mfugaji

lwigwano

Senior Member
Joined
May 14, 2015
Posts
130
Reaction score
67
kama unachangamoto unapitia ktk ufugaji na unapata shida kupata huduma/ushaur wakitaalam tuambie hio changamoto hapa nas tutakusaidia
 
kuku wangu wanasumbuliwa sana na mafua na kikohozi ..jana nimewanunulia tetrasakilini nikaweka vidonge vitano kwenye maji ya lita tano je niko sahihi au nitumie dawa gani ?
 
kuku wangu wanasumbuliwa sana na mafua na kikohozi ..jana nimewanunulia tetrasakilini nikaweka vidonge vitano kwenye maji ya lita tano je niko sahihi au nitumie dawa gani ?
Tetracycline si dawa ya binadamu???
 
Back
Top Bottom