Je wewe ni mkulima? Pata elimu juu ya mazao yako kwa kujiunga group la watsup ambalo utapata elimu juu ya mazao yako kwa kuuliza maswali na kupata majibu kutoka kwa watalaamu waliobobea kwenye...
Hi wanajamvi.Hii ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa la ujasilimia mali bt nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa mda mrefu.Mimi ni kijana wa kitanzania niliyemaliza chuo kikuu k1 huko moro na...
Wakuu habari zenu!!
Nimepata habari kwamba kuna biashara ya mahindi huko Sumbawanga, mahindi yananunuliwa vijijini na wanawauzia wakongo!!
Kilichonifanya nilete hii thread ni kutaka kujua hali...
Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji.
Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa?
Naomba kufahamu...
Wadau naombeni mnifahamishe, nataka kupulizia dawa ya sulphur katika mikorosho yangu.
Ni wastani wa kiasi gani cha sulphur kinatumika kwa mkorosho mmoja? kilo?nusu? robo? nk
BIG UP for JamiiForums [ Jukwaa la Ujasiriamali & Jukwaa la Ufugaji na Kilimo ] Be blessed
Wakuu, tunawasalimu !
Tunapenda kutumia fursa hii kuwakilisha kile tunachoamini ni ‘mpenyo’ kwa wengine...
MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA
MKOPO?
Mikopo inatolewa kwa kila
mtanzania bila ya kuwepo na
ubaguzi wa aina yoyote huduma
zetu ni stahiki kwa kila mtanzania
ambae ni mjasiriamali,mtumishi
wa...
Wanajamvi habari za mda huu!!
Mimi kwa ufupi ni mhitimu stashahada ya ualimu 2015 .... Wadau baada yakumaliza chuo nimeingia mtaaani nimefundisha tempo nimefanikiwa kupata kiasi cha 1,500,000...
Mambo kwa Mara nyingine.
Kumfundisha Kuku tabia inawezekana na ina faida kwa mfugaji. Ntaelezea machache Mimi ninayo yatumia na yanipayo faida
Nilianza na Kuku wachache sana ila nilivyo itumia...
Wakuu salam
Nina project yangu ambayo mali ghafi kuu ni miwa.( sio sukari).
Project hii itafanyika Dar ambapo nataka kufungua small scale sugarcane juice ambayo inakua bottled.
Hivyo Nahitaji...
Annie Nyaga amefanya kitu ambacho kimebadiisha fikra za watu wengi hasa vijana wa kiafrika,na hii ilikuja baada ya jina lake kuchomoza katika orodha ya vijana mamilionea nchini Kenya wakati huo...
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha upekee wa Hifadhi ya ZIWA MANYARA ambayo :
1.Hifadhi pekee na maarufu sana ambayo Simba wake wanapanda miti. Aina hii ya Simba hupatkan ZIWA MANYARA pekee...
Hello JF,
The other day I posted that I was selling a dog for $2000 and the responses I got,well while some were appreciative others were down sarcastic but most of all misinformed about the dog...
Kuna matapeli wanajifanya wana kampuny ya kutengeneza incubator na kuuza na kampuni yenyewe ni pretty development for reduction nimatapeli msijiloge kuwatumia ela na wala msisumbuke kuwatafuta...
Ndugu wana jamii wenzangu najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta wateja wa asali na mafuta ya ubuyu.mimi naishi Dodoma nimeanzisha kampuni yangu nashughulika na ufugaji wa nyuki na zalisha asali...