Ufugaji wa samaki

Ufugaji wa samaki

Nilitaka kujua juu ya ufugaji wa samaki ghalama zake challenge zake kila k2 msaAda tafadhar
Search kuna thread kama 3 humu zimechambua kuhusu ufugaji samaki. Aidha, kuna aina nyingi ya samaki wanaofugwa na wana changamoto tofauti. Search hizo thread na ukiwa na swali karibu nitakusaidia. Ukipenda pia hiyo huduma inapatikana katika Idara ya ufugaji samaki pale veterinary temeke, maafisa uvuvi halmashauri zote nchini, vituo vya ufugaji samaki Songea, Morogoro, Chato, Lindi, Mwanza, Mara, Bagamoyo, Igunga, Bukoba. Tembelea maonesho ya nane nane kuna huduma hiyo pia. Kwa private karibu inbox.
 
Nipo Bagamoyo Na Ndio Kazi Yangu Hapa Mbegani, Ni Inbox Kwa Details
 
Search kuna thread kama 3 humu zimechambua kuhusu ufugaji samaki. Aidha, kuna aina nyingi ya samaki wanaofugwa na wana changamoto tofauti. Search hizo thread na ukiwa na swali karibu nitakusaidia. Ukipenda pia hiyo huduma inapatikana katika Idara ya ufugaji samaki pale veterinary temeke, maafisa uvuvi halmashauri zote nchini, vituo vya ufugaji samaki Songea, Morogoro, Chato, Lindi, Mwanza, Mara, Bagamoyo, Igunga, Bukoba. Tembelea maonesho ya nane nane kuna huduma hiyo pia. Kwa private karibu inbox.
Hata Mimi nataka kufanya huo mradi
 
Tafuta kitabu kinachoitwa Ufugaji wa Kuku na samaki kibiashara,kimauzwa kwenye bookshops na meza za wauza vitabu kariakoo. Humo wamechambua ufugaji wa samaki aina ya sato na pia wanachimba mabwawa na kuuza vifaranga vya samaki,contacts zao zimo humo kitabuni. Watafute,naamini watakusaidia.
 
Back
Top Bottom