Teknolojia mpya ya utunzaji wa vifaranga wa aina zote

mwihavag

Member
Mar 12, 2016
73
22
Habari, za leo wadau..

1470993197086.jpg
 
Acha uvivu kwa kuweka picha Tu, toa maelezo kwa kina, picha yenyewe haionekani vizuri.
We mtoa tangazo ukiwa nvivu, msomaja anakuwa mvivu Mara 2 yako
 
[QChungu cha joto kwa ajiri ya vifaranga ,hutumia mkaa mchache unaweka ndani ya chungu then unafunika baada ya robo saa chungu kitakuwa heated vifaanga watakizunguuka kinadumu na joto ndani ya masaa 10-12 na chungu kimoja kinahudumia vifaranga 70-90 ,ni mbinu nzur ambayo hutoa joto _tahiki na hupunguza gharama za umeme picha zakd nitapost soon ndgUOTE="Chagga King, post: 17193075, member: 47691"]Acha uvivu kwa kuweka picha Tu, toa maelezo kwa kina, picha yenyewe haionekani vizuri.
We mtoa tangazo ukiwa nvivu, msomaja anakuwa mvivu Mara 2 yako[/QUOTE]
Maelezo hayatoshelezi.
 
Back
Top Bottom