Biashara ya mashine za kukoboa na kusaga nafaka

Biashara ya mashine za kukoboa na kusaga nafaka

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Wana JF kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi?
Challange zake kubwa ni zipi?
Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo?
Manake kwa sisi wajasiriamali ukilala kidogo tuu lazima ukatwe
any ideas?
 
wana jf kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi?
Challange zake kubwa ni zipi?
Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo?
Manake kwa sisi wajasiriamali ukilala kidogo tuu lazima ukatwe
any ideas?

mkuu hebu check na sido nadhan wana jinsi ya kukusaidia kuhusiana na hlo.
Be blessed
 
thank you mkuu

hawa jamaa wanatengeneza vinu na kuviuza kwa bei za 3000k na punguf lakin pia kama mtaelewana vizur kwa kile wanachokihtaj unaweza ukapata msaada zaid kwani wana program za kuwasaidia wajasiliamal wadogo kwa jinsi wanavyoweza.

Kila la kher mwanaharakati.
 
Wana JF kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi?
Challange zake kubwa ni zipi?
Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo?
Manake kwa sisi wajasiriamali ukilala kidogo tuu lazima ukatwe
any ideas?

naitamani sana hii kitu vip maendeleo
 
soko la unga liko vp kwanza? Naona kama players wamekuwa wengi sana kwenye industry ila ukija na strategy nzuri nadhani utauza tu
 
Back
Top Bottom