Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 878
- 945
GARLICIDAL-Hii aina ya sumu itokanayo na vitunguu saumu+mafuta ya taa. Chukua v/saumu vikubwa 3, visage/vitwange kisha weka ndan ya mafuta ya taa lita 1 na uviache siku 2 kisha uchuje hayo makapi v/saumu. Kisha weka sabuni ya unga kijiko 1 cha chai, hapo sumu tayari kwa matumizi yako au biashara. Matumizi, lita 1 ya sumu kwa lita 10 za maji(uwiano). Na unyunyizie ktk mbogamboga na usichume baada ya siku 5 au 6.
kwa utengnezaji wa sumu zingne 067311461 au sungitaabdul@gmail.com, mafunzo ni kwa njia ya email.
kwa utengnezaji wa sumu zingne 067311461 au sungitaabdul@gmail.com, mafunzo ni kwa njia ya email.