Malila alinishawishi nikaingia kazini naona matunda karibia

1470484799671.jpg
1470484812469.jpg
1470484826939.jpg
 
Attachments

  • 1470484748938.jpg
    1470484748938.jpg
    78.3 KB · Views: 110
Kwanza hongera kwa kuthubutu na kurejea hapa jamvini. Nenda Tandan ltd pale Kisemvule kajifunze kitu kizuri juu ya biashara hiyo.
Ndio wapi mkuu Malila naomba info zaidi nataka kujifunza kwa vitendo zaidi kabla sija step in kuwa mfugaji wa hawa .
 
Ngoja nikuelekeze,
Ukitoka Vikindu kama unaelekea Mkuranga, unapokaribia ile kona ya kufikia Kisemvule, mkono wako wa kushoto kuna taasisi ya kanisa Katoliki, hapo hapo kulia kwako kuna ukuta umejengwa kuzunguka makazi Fulani, hayo makazi ya hapo yana miti mingi, na kuna screpa za magari na kinjia kinaingia hapo ndani, kuna kibao kimeandika Tandan Ltd.

Huko ndani kuna jamaa anafuga nguruwe vizuri, kuna bucha la kisasa la kuchinjia nguruwe na sehemu kali ya kugongea kitimoto. Nilishaenda pale kujionea mambo. Nenda ukawaone kwa ajili ya soko la bidhaa zako na elimu.
 
Gharama ya kujifunza/kupata elimu hiyo ni kiasi gani? contact zao unazo mkuu?
 
safi sana mkuu lakn mbona umewaweka nguruwe weng kwenye banda moja syo tatizo hilo upande wa kuwalisha chakula coz nijuavyo mimi watakua wanapigana sana kwenye kula chakula
 
Ngoja nikuelekeze,
Ukitoka Vikindu kama unaelekea Mkuranga, unapokaribia ile kona ya kufikia Kisemvule, mkono wako wa kushoto kuna taasisi ya kanisa Katoliki, hapo hapo kulia kwako kuna ukuta umejengwa kuzunguka makazi Fulani, hayo makazi ya hapo yana miti mingi, na kuna screpa za magari na kinjia kinaingia hapo ndani, kuna kibao kimeandika Tandan Ltd.

Huko ndani kuna jamaa anafuga nguruwe vizuri, kuna bucha la kisasa la kuchinjia nguruwe na sehemu kali ya kugongea kitimoto. Nilishaenda pale kujionea mambo. Nenda ukawaone kwa ajili ya soko la bidhaa zako na elimu.
Mheshimiwa..Mtaalamu.. kwema?
 
Back
Top Bottom