janath mabruck
Member
- Mar 30, 2016
- 38
- 12
Habar wana jamvi naweza pata wapi mbegu bora za mbaazi zinazoweza kustawi vizur kanda ya ziwa natanguliza shukran
Mkuu hii amsha institute ipo kilwa maeneo gani?maana na mimi nipo kilwa piaWasiliana na taasis ya amsha institute iliyopo kilwa, wanaweza kukuelekeza vizur pa kuzipata, pia taasis ya Naliendele mtwara...Amsha Institute wanapatikana twitter kwa jina hilo la amsha institute so wafollow
Habari mkuu. Nami natafuta sana mbegu ya mbaazi. Ukiweza pata nijulishe nami nichukue. Pia tunaweza uza kwa pamoja maana mimi nimepata connection ya kampuni India. Tuwasiliane.Mkuu hii amsha institute ipo kilwa maeneo gani?maana na mimi nipo kilwa pia
Amsha ni matapeliWasiliana na taasis ya amsha institute iliyopo kilwa, wanaweza kukuelekeza vizur pa kuzipata, pia taasis ya Naliendele mtwara...Amsha Institute wanapatikana twitter kwa jina hilo la amsha institute so wafollow
Nyamgluu tunakupataje ili kujua uhtaj wa hao ndugu uliowapata ili tuzame kufikia hzo mbegu kwa muda?Habari mkuu. Nami natafuta sana mbegu ya mbaazi. Ukiweza pata nijulishe nami nichukue. Pia tunaweza uza kwa pamoja maana mimi nimepata connection ya kampuni India. Tuwasiliane.
Kaka naomba namba yako mimi pia nataka kulima kwa wingi mbaazi so tuwasiliane kwa ajili ya soko la hao wahindiHabari mkuu. Nami natafuta sana mbegu ya mbaazi. Ukiweza pata nijulishe nami nichukue. Pia tunaweza uza kwa pamoja maana mimi nimepata connection ya kampuni India. Tuwasiliane.
Mdau hongera kwa kuhudhuria nanenane...naomba umwage data humu za kilimo cha mbaazi hasa Mbegu bora na dawaTupe huo mchakato wa kuuza india ukoje? Alafu suala la mbegu niachieni mm ntalimaliza..
Nilikuwa nane nane morogoro nimejifunza mengi ikiwa ni pamoja na sehemu yakuzipata mbegu bora, sio bora mbegu.
Zipo mkoa gani?Kwa miaka hii miwili soko na bei nzuri ya mbaazi imeamsha ari na nguvu kuu kwa kila mkulima kuvutika kulima zao hili.
Huko mashambani plastic ya lita 20 inafika hadi sh60,000!
Kiukweli mwenyewe nimevutika haswaa!!
Uzuri wa zao hili kwa mkulima ni kwamba pesa na soko ni chapchap huna haja ya kuweka stoo.
Nendeni shamba wanaJF msibweteke na hizo salaries fikiria juu ya kesho yako. Utagundua kuwa kuishi kwako kwa kutegemea mshahara tu ni utumwa na kifungo.
Kawaida mbaazi kwa ukanda wa pwani na Moro hupandwa kwenye mvua za vuli mwezi october hadi november na utavumilia hadi august ndo mavuno na papo kwa papo unauza mbaazi zako make soko huwa "HOT" kipindi hiki hadi september.
Uzuri kipato cha mbaazi ni kikubwa kuliko ufuta, bei juu na ni nafuu katika kulima kwake na nzuri zaidi zao hili huhitaji mvua za wastani.
Anayehitaji shamba la kukodi asisite kunitafta. Zipo ekari 20 kwajili yako tena ni bonde mwinuko lenye uhakika wa kuvuna!
moro kubwa mkuu maeneo ganMoro mkuu.
Aisee ni pm nikupe mchongo wa mbegu mimi unipe wa sokoHabari mkuu. Nami natafuta sana mbegu ya mbaazi. Ukiweza pata nijulishe nami nichukue. Pia tunaweza uza kwa pamoja maana mimi nimepata connection ya kampuni India. Tuwasiliane.
Mzee tuwekee hapa jukwaani namna ya kupata na kuijua mbegu bora za mbaaziAisee ni pm nikupe mchongo wa mbegu mimi unipe wa soko