Muganyizi Jackson
Member
- Aug 11, 2016
- 13
- 3
Halmashauri ya wilaya ya Malinyi, chini ya mkurugenzi wake na mkuu wa wilaya hiyo wamedhamiria kuhakikisha wilaya yao inakuwa kitovu cha kilimo cha mpunga, tayari halmashauri hiyo imeanza kusimamia wakulima kwenye scheme iliyopo kata ya Itete wilayani humo.
Pia halmashauri imeweza kutoa mbegu bure kwa wananchi wanaozunguka eneo la scheme na imewakalibisha wageni hasa vijana kutoka sehemu mabalimbali za nchi ili waweze kulipatia mitaji.
Kwa ujumla Viongozi wa halmashauri wanafanya kazi kubwa.
Katika picha ni mkurugenzi wa halmashauri akikagua shamba la mpunga katika eneo la scheme.