Kilimo cha Mboga na Ufugaji

mapande48

Member
Jun 4, 2013
14
3
Wanajamvi poleni na harakati za kujikwamua na mbinyo wa maisha. Nawasilisha kwenu yeyote au kama una kijana aliye serious na kilimo na Ufugaji basi ani PM. Eneo la shughuli hii ni Mkuranga miundo mbinu imekamilika kwa 45% maji ni ya kutosha. Karibuni
 
Back
Top Bottom