MAMALAND MUSHROOM FARM
Member
- Apr 2, 2016
- 6
- 2
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo:
-Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika,
-Fedha iliyowekezwa inaweza kurudi ndani ya muda mfupi sana,
-Masaa machache yanahitajika katika kilimo cha Uyoga,
-Hurudisha faida kwa muda mfupi kuliko mazao mengine
(mavuno ni ndani ya siku 26),
-Mkulima huendelea kuvuna kwa miezi mitatu hadi mitano,
-Haihitaji mtaji mkubwa, huchukua nafasi ndogo ya kuzalishia/kulima,
-muda wa kuhudumia shamba, wastani wa masaa 4 kwa wiki,
-Haihitaji mbolea wala madawa ya kufukuza wadudu,
Faida za Kiafya ni kama ifuatavyo:-
-Hupunguza kiwango cha rehemu mwilini,
-Huzuia saratani za aina mbalimbali,
-Huboresha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa,
-Ni chanzo cha madini ya chuma na zinki,
-kupunguza uzito wa mwili,
-Chanzo kizuri cha Vitamini D,
-Haina mafuta yaletayo maradhi ya moyo.