kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Awali ya yote kabla ya serikali kusitsha upigaji chapa kwa Mifugo Halmshauri ya mvomero ilishafanya zoezi hilo kwa asilimia fulani na walikusanya fedha za kutosha na walidai ni gharama za uendeshaji Wa mpango huo lakini sisi kama wafugaji hatujui nini zimefanyiwa na kazi hiyo tumeifanya wenyewe namashaka na hilo wana MVOMERO mmelala tu ebu changieni hili.