Mukundumbusya
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 168
- 142
Umeharibu shamba zima. Nawaza kuyakata ili nilishe ng'ombe ili humo nipande mahindi mengine. Kitu gani nifanye ili ugonjwa usijirudie?
Natanguliza shukrani.
Dawa? Maana unafanana NA ugonjwa uliopiga pilipili zangu ambazo zilipata upungufu wa maji kwa siku chache. Matu zilipomwagiliwa kajitokeza wadudu ambao wanakula maeneo yanayochipua.Hao ni funza.wanaokula. ila wanashambulia hasa kipindi cha ukame.