Ushauri : Nataka kulima pilipili Mbuzi

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
386
231
Hodi humu ndani, naomba kwa wazoefu mnisaidie nataka kulima pilipili Mbuzi.
Naomba ushauri wenye experience fulani juu ya zao hili mbegu kilimo na soko kwa ujumla.
Asante.
 
Hodi humu ndani, naomba kwa wazoefu mnisaidie nataka kulima pilipili Mbuzi.
Naomba ushauri wenye experience fulani juu ya zao hili mbegu kilimo na soko kwa ujumla.
Asante.
Nalima pilipili mbuzi....changamoto kubwa ni soko!
Sijaona changamoto nyingine zaidi ya soko
 
Back
Top Bottom