Soko la virunguu maji(Vyekundu)

Scoob102

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
318
386
Habari wadau? Nahitaj soko la vitunguu vyangu... Vitatoka mwanzoni mwa March nimeona sio mbaya nikaandaa soko kwani sio vingi sana. Shamba ni kama nusu heka kwa sasa... vingine bado vidogo. Shamba lipo Rudewa - Kilosa.
Asanteni
 
Back
Top Bottom