Mbegu bora za mahindi

mattymfunami

Member
Aug 8, 2016
32
11
Napenda kuuliza kuhusu mbegu bora za mahindi zinazostahili ukame! Nimeambiwa ni WEMA2019 Je kuna bora zaidi? Na zote naweza zipataje na gharama zake
 
Waweza nipa sifa zake
siyo kwamba naharibu biashara ila kama unavyojua hali ya ukame mwaka huu mahindi ya SIDCo yalikauka wakati ya kwangu ya Stuka M1 yakiendelea kuvumilia mpaka mvua ikayakuta hai. Poa kula mahindi haya au unga wake unajiepusha na madhara ya GMO inayopenyezwa na makampuni makubwa ya mbegu.
 
Nimenunua PANNER vip nitavuna kweli
 
Back
Top Bottom