Kuku wangu ni katili sana

Kuku wangu ni katili sana

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
638
Reaction score
581
Kuku wangu ni katili sana hapendi mbuzi,mbwa wala kiumbe wengi sasa inafikia mahali analalia mayai yake anayaacha nakufata mbwa wanaobweka jirani na mabanda na kuwafukuza.kasha toboa macho mbwa watatu wa jirani,

sasa ashajua anaitwa al-shabab na likitajwa anafata anaeita
 
Anaweza kuwa na element za clone huyo hah haha hah mfukuzie mbali, la sivyo ipo siku atakugeuka!
 
mi ndo nakuku wa ajabu mwingi atakiona kucha zimepakwa rangi. wadada wanalizwa mtaani tu vidole vinadonolewa
 
imekua too much kuku namwona katoka anakula saa 4 usiku......
 
Acha uongo, kuku mwenyewe ndiye huyu mwenye huruma hivi!
58f98cb4ad6aa23e49f86df025eb62b0.jpg
 
nakumbuka wilolesi iringa kulikuwa na jogoo linafukuzia watu likikumata linakudonoa
 
Huwa mnawapa wenyewe wadonoe mbegu za bangi kisha mwalalama hapa, huyo ana kichaa cha kuku ni hatari sana
 
Kuku wangu ni katili sana hapendi mbuzi,mbwa wala kiumbe wengi sasa inafikia mahali analalia mayai yake anayaacha nakufata mbwa wanaobweka jirani na mabanda na kuwafukuza.kasha toboa macho mbwa watatu wa jirani,

sasa ashajua anaitwa al-shabab na likitajwa anafata anaeita
Huyu kuku atakuwa anaishi Magogoni
 
huyo kuku anamiss madini fulani na hiyo tabia inaitwa canibalism...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom