Msaada ugonjwa huu wa kuku

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
3eeb936082ee0240975a9b4b77678f2b.jpg
f364dcaad9ebf7390eeb0685c7015dd8.jpg
 
Ndui haina dawa ila ina chanjo ya kukinga kuku wasipate huo ugonjwa, ila jaribu hii tiba mbadala yaweza kukusaidia labda, chukua jani la Alovera(shubiri) uikate vipande vidogovidogo na kuiloweka kwenye maji ya lita 5 kwa muda wa nusu saa halafu uwape kuku wanywe rudia hilo zoezi kwa siku tano mfululizo.NB liwe jani fresh kwa kila siku kwani likikaa muda hupoteza ubora(utomvu wake hupungua thamani ya tiba)
 
Asante mkuu ila kuna dawa nimeelekezwa ya hayo mdonda sijui itakuwa nzuri?
 
kuna mtaalamu mmoja kwenye thread yake humu niliona mr kubota alisema yeye huwa anawapaka mafuta ya alizeti.
 
Hiyo iodine tincture ni kwa ajili ya kukausha vidonda jaribu tu, ila mimi kwa kukausha vidonda huwa natumia dawa ya macho inayoitwa oxytetracycline ointment pia husaidia kwa vidonda hivo sambamba na hiyo tiba mbadala.
 
Back
Top Bottom