Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza...
4 Reactions
24 Replies
18K Views
Biashara iliyokuwa ikifanywa na Wawekezaji ya kununua vifaranga na Mayai kutoka nchi za nje imepigwa marufuku, baada ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, kusema kuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hv ni miez gani bamia inakuwa na bei nzuri sokoni
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina shamba, vifaa, wafanyakazi na Experience. Natafta partiner wa kushirikiana naye kilimo cha Tikiti. 50/50 contribution. Shamba lipo Mwanza Malimbe nyegezi. Kwa ambaye yupo serious anitafte kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe. Sent from my BlackBerry 9320 using...
1 Reactions
72 Replies
39K Views
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
siku za karibuni nilikuwa natafuta mbolea ya kuweka kwenye migomba. nikaambiwa mbolea ya kuku ni nzuri sana, nikaenda kuitafuta. nikakuta inabei kubwa sana. gunia la debe kumi wanauza 4,000...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nianze kwa kumshuru mungu kwa kunipa uzima na kunifanya nizaliwe Tanzania Tanzania tunazo fursa nyingi sana Leo ntazungumzia fursa zilizop kwenye secta ya kilimo watu wamekuwa wakilalamika...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, Nimeamua kua Mkulima rasmi. Sina uhakika na kile nachotaka kukifanya kwani sina Uzoefu wowote, wala sijawahi hata kumiliki bustani, sembuse kumiliki japo Gunia moja la zao lolote duniani...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari za majukumu wakuu! Naomba kujua popoo ni nini?(kwa anayelijua zao hili) Je zinalimwa wapi? Yaani mkoa gani? Asanteni kwa msaada!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wana Jf. Natambua mu wazima na mvua hizi wengine mpo mashambani mkiandaa mashamba. Nimekuwa nikiona mijadala mingi hum ikijikita Katika Faida na mafaninikio ya kilimo. Lakini naomba tupeane...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni Kijana mjasiliamali natamani nianzishe kilimo cha alizeti alafu mwisho ninunue mashine ya kukamua hayo mafuta lakini changamoto yangu sijui hiyo mashine inapatikana wapi, pia sijui...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kilimo cha umwagiliaji na changamoto zake Wote tunajua kwa sasa tunakabiliwa na upungufu mvua na kutotabirika kwa mvua! tumekua tunategemea kilimo cha mvua, na kwa hali ilivyo tukiendelea...
6 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari wa JF. Mimi ni binti ambaye nataka niingie shambani kuanza kilimo. Msaada wenu nauhitaji kujua gharama nzima ya kulima kilimo cha umwagiliaji. Kuanzia ukodishaji shamba hadi vifaa vya...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari wadau, poleni kwa majukum. Lengo la Uzi huu ni kupata maoni yenu. Nina shamba la ekari 3 lipo eneo la mitonga -mbanja Lindi. Ardhi yake ni ya mchanga, mazao yanayostawi ni pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
KAMA WEWE NI MUHITAJI WA KISIMA WAHI OFA ZETU ZA PASAKA AMBAZO BADO NDANI YAKE ZINATOA MAJADILIANO YA BEI. VISIMA HIVI NI VYA KARAVATI,TUNAVIANDAA MPAKA KATIKA HALI UNAYOONA PICHANI HAPO,WEWE...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Bila shaka yoyote ile kilimo ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wengi zaidi hata kukiko viwanda kama serikali ingetilia mkazo somo la kilimo mashuleni hasa katika secondary Nimepita katika shule...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bandugu, Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara. N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake. Shukran!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Sababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo na vingine vya kutafutia masoko. Leo nitatoa sababu chahche kwanini biashara yako inahitaji hivyo vyote ili ifanikiwe kibiashara...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…