Habari wana JF,nimuda umepepita sasa tangu ni nunue kuku wa mayai mpaka sasa wana miezi 7 tangu niwanunue wakiwa wadogo na waliniambia wana kaa ndani ya miezi 4 wanaanza kutaga chakushangaza mpaka...
Nilikuwa ninaomba kuuliza je, kwa hapa bongo kuna sehemu ambapo zinauzwa machine za kutengenezea pellet za chakula cha kuku au samaki... Walau machine yenye kuweza kutengeneza 50-100kg/hr!!?
Naam kikundi cha vifaranga groups kinapenda kutoa mafunzo ya utengenezaji incubator za aina zote , kwa teknolojia rahisi sana
Hapa mafundi wakiunda incubator kwa njia rahisi
Mashine hapo juu...
Ndugu zangu mim ni mhitimu Stashahada ya mambo ya uvuvi kutoka chuo cha uvuvi nyegezi Mwanza. Kama kuna mtu anamradi wa ufugaji Samaki au angependa kufuga Samaki anaweza kuwasiliana nami kwa...
Habari wana JF mimi ni kijana nimelima vitunguu ekari moja kwa unwagiliajibwa pump maeneo ya Ruaha Iringa nataraji kuvuna mwezi wa 7 naomba msaada wa masoko yenye tija. Natanguliza shukrani
Habar zenu wadau! Hope mnaendelea vzuri na miangaiko ya hapa na pale. Naulizia mashamba ya kukodi au kununua kwa mkoa wa Geita. Vigezo ni maji yawe krb either krb na mto au ziwa na liwe virgin af...
Zipo ekar 12
Bei ni million 12
Aina ya Miti ni pine
Linauzwa pamoja na Ardhi
Lipo ktk kijiji cha image tarafa ya Lupembe mkoan NJOMBE
Kwa mahitaji piga 0764426929,0655726929 au 0742188846
Zifutazo ni BAADHI tu ya fursa ambazo zinapatikana katika sekta ya mifugo na mnyororo wake wa thamani. Jipimie inayoweza kukufaa zaidi na uifanyie kazi katika kujitanua kibiashara na kujiongezea...
nimekaa na kufikiri sana kuhusu mazao yetu mengi tunayo lima ni ya msim mmoja tu, huvuni kwa mwendelezo, lakini nimesikia kuna nyanya zinaitwa tree tomato zinalimwa sana kenya na pia huku kwetu...
Habari watanzania wenzangu.
naomba mwenyeuzowefu katika uzalishaji na biashara ya mhogo anisaidie, natamani kama utaweka cost analysis kuanzia shambani ikiwezekana hadi usindikaji na masoko ya...
Habarini... jamani mwenye uelewa kuhusu bei ya chini zaidi ya gunia la mahindi au/na mpunga kwa mkoa wowote naomba anijulishe,ninataka fanya uhifadhi wa tani kadhaa kwa sasa,hivyo nikinunua mahala...
Habari watanzania wenzangu.
naomba mwenyeuzowefu katika uzalishaji na biashara ya mhogo anisaidie, natamani kama utaweka cost analysis kuanzia shambani ikiwezekana hadi usindikaji na masoko ya...
Wanajamvi kwema?
Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.
Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu...
Kuna mtu ameshafanya forex business kutumua Toro atupe uzoefu wake?
Mi nimejaribu trial mode yake naona kuna uwezekano wa kupata vidola vichache ukiwa makini. Swali ni kwamba ukishaweka hela yako...