NATAFUTA SOKO LA VITUNGUU

kankara

Member
Jul 19, 2014
25
17
Habari wana JF mimi ni kijana nimelima vitunguu ekari moja kwa unwagiliajibwa pump maeneo ya Ruaha Iringa nataraji kuvuna mwezi wa 7 naomba msaada wa masoko yenye tija. Natanguliza shukrani
 
Kwa mwezi wa saba naamini utapata bei nzuri hata Hapo MBUYUNI. Kwani umeona dalili ya kuwepo mafuriko ya vitunguu utakapokuwa unavuna ww?
 
Kijana ebu fafanua bei yenye tija au masoko yenye tija.......maana masoko yenye tija kwa dar ..karikoo na sterio.....ila bei yenye tija utaipata hata hapo ruaha mbuyuni......Je unatarajia kupata kiasi gani hadi kufikia leo?
 
Bei yenye tija hasa ya shambani mana bado sina mtaji wa kusafirisha mpaka dar,
 
mkuu mi mwenyewe mwezi wa7 natoa kitunguu,ukipata bei nitag..mm pia nikipata ntaku tag
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom