Msimamizi wa mradi wa ufugaji samaki

babilas25

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
471
333
Ndugu zangu mim ni mhitimu Stashahada ya mambo ya uvuvi kutoka chuo cha uvuvi nyegezi Mwanza. Kama kuna mtu anamradi wa ufugaji Samaki au angependa kufuga Samaki anaweza kuwasiliana nami kwa 0783 686643.
Naomba kuwasilisha.
 
mkuu mi mwenyewe napenda sana kufuga samaki tatizo sina elimu juu ya hii biashara naomba tuwasiliane kwa no 0715654676/0756962295
 
Msomi babilas25 nakushauri uanzishe mradi wa kwako mbeleni utakuja kuajiri wafanyakazi wako mwenyewe badala ya kufikiria kusimamia miradi ya watu kwa dunia ya sasa itakugharimu muda mwingi sana kumudu maisha.
 
Nalitambua hilo ila natafuta mahali pa kuanzia lakini ndoto yangu nikua na mradi wangu binafsi
 
Hata kama ukitaka maelezo yoyote kuhusu mambo ya ufugaji Samaki pia usisote kunitafuta
 
Karbu sana mkuu

Mimi nina lambo kubwa maeneo ya horohoro Tanga. Bwawa lina ukubwa wa 35 kwa 35. Nataka niachane na kulima mbogamboga ili nifuge samaki tu. Linakaa na maji msimu hadi msimu. Nipe ushauri tunaweza kufanya labda joint venture ili nione matokeo? Malazi ni hapohapo shambani kwangu.
 
hongera Mkuu .iko vizuri.apo ukifuga Kambale watakutoa zaidi.mkiitaji Vifaranga nipo
 
Back
Top Bottom