KILIMO CHA TREE TOMATO(matunda damu)

KILIMO CHA TREE TOMATO(matunda damu)

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
nimekaa na kufikiri sana kuhusu mazao yetu mengi tunayo lima ni ya msim mmoja tu, huvuni kwa mwendelezo, lakini nimesikia kuna nyanya zinaitwa tree tomato zinalimwa sana kenya na pia huku kwetu zinalimwa iringa,na nasikia unaweza vuna hadi miaka mitano kutegemea na matunzo, na wenyeji huko iringa wana ziita matunda damu, mwenye uelewa ma hii kitu anijuze,jinsi ya kuilima ,matumizi yake na soko lake likoje,
nawasilisha
 
Matunda damu ndiyo haya ila nashangaa uvyoyapeleka kwenye kundi la mboga mboga

350cd63683e7e76b12f2511ebd337737.jpg
 
Biringanya sio yale yaliyofanana na hoho ila yenyewe yanakuwa meusi?
Hapana mkuu, wanayaita hivyo kwa kiluga, nadhani itakuwa ni misnomer. Yale mmea wake ni mti mkubwa tuu.
 
Back
Top Bottom