Interlocking brick making machine - manual | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interlocking brick making machine - manual

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by EXTERMINATOR, Oct 18, 2012.

 1. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji interlocking brick making machine ya kununua. Kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa tafadhali nifahamishe.
   
 2. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Manual ama auto?kama auto itakubidi uagizie south africa hydrafoam,manual kwa hapa tz unapata ukihitaji uniambie nikupatie namba ila uandae kama laki nne na nusu hv,   
 3. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 757
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nenda chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya karakana ijulikanayo kama BICO. Au nenda SIDO makao makuu utapata mashine hiyo auto au manual. Ila bei kwenye bei itakuwa ni zaidi ya laki nne na nusu manual.

   
 4. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Za BICO ni utata na za NHBRA ni utata pia.
  Nilinunua ya kwanza NHBRA ikanitesa sana na baadae ikanibidi ninunue nyingine huko BICO zote ni kichaa tu. Nilisikitika kupoteza hela zangu, mara ya tatu nilimpata fundi wa mtaani, nikatengeneza mashine ya tatu nayo haikufaa. Zote nilizitekeleza store na nimekuwa nikipiga hesabu kuziuza kama skrepa / chuma chakavu. Mwishoni niligundua fundi mmoja mwenye workshop yake mitaa ya Kimara huko Dsm ambaye anatengene
  za zenye kiwango bora. Nilimuelekeza rafiki mmoja na alinunua hapo naye anaifaidi sasa kama 3yrs zimepita.

  Ushauri wangu ni kama unahitaji mashine bora uende kwa huyo fundi wa Kimara. Unaweza kutuma PM kwa details zaidi.

  Alternatively kuna mchina alikuwa Millenium Park Ubungo no 15 kama 2yrs ago, nitacheck kama bado nina email yake.
  Namna ya tatu ni kagiza toka "Kthai con" toka Thailand. Hawa wana manual na hydraulic machines. Angalia website yao kwa ku-google hilo jina.

  Ushauri mwingine ni kuwa Hydrafoam is not better than other types of interlocking bricks/blocks. To continue later.
   
 5. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wadau,Yule mzalishaji wa Kimara namba zake ni 0716492870 na 0754748409 anaitwa FRANK.
  Pia yule Mchina contact zake hizi kama simu haifanyi kazi kwakuwa ni ya muda mrefu basi email itafanya:[TABLE="class: cf gJ"]
  [TR="class: acZ"]
  [TD="class: gF gK"][TABLE="class: cf ix, width: 751"]
  [TR]
  [TD]WAngKILLIN chinashengya@hotmail.com
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="class: gH, align: right"]
  [​IMG]

  [/TD]
  [TD="class: gH, align: right"][/TD]
  [TD="class: gH acX, align: right"]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: acZ xD"]
  [TD="colspan: 3"]0654-910708.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 6. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Thats why I like JF. Asante sana Mkuu investa.tz
   
 7. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana sana Mkuu eucalyptos!
   
 8. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx 4 Gud advice. I will work on it Mkuu
   
 9. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nenda nyumbu kibaha 8 milioni uwe nazo, hakuna cha south wala kimara wala thailand, ni vyuma halisi havihalibiki na jeereta ya umeme unaweza kuweka unayotaka ww ili kuongeza uzalishaji kwa saa, ukitaka isiyotumia umeme unawaambia tu wanatengeneza, hutajutia uamuzi wako
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wagongee basi like Mkuu ikiwa wamekusaidia!
   
 11. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,216
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
   
 12. S

  Soki JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Vipi machine za kawaida za kupigia tofali za block za kawaida manual naweza kupata wapi na kwa bei gani
   
 13. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Muulize huyu wa Tabata 0754274524 naye anaitwa Frank. Pia huyo wa Kimara anatengeneza.
   
 14. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
   
 15. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni kweli nyumbu wana product kama ya "HYDRAFORM" (duplicate), niliiona vyema tangu walipotengeneza ile ya kwanza kama miaka 3 iliyopita. Wanatumia engine za kichina (ni kweli unaweza kubadili ukaweka nyingine kama itakusumbua).
  Kama umewahi kutumia hii product tunaomba uzoefu wako mkuu.

  USHAURI KUHUSU AINA ZA INTERLOCKING RICKS/BLOCKS:
  UKIWA UNANUNUA MASHINE NI VYEMA UKAJUA ZAO / PRODUCT UTAKAYOZALISHA NA JINSI INAVYOFANYA KAZI KWENYE UJENZI / MATUMIZI.
  Kuna aina nyingi za matofali ya kuvaana / kuumana au kufungana (interlocking).
  1. Watu wengi wamezoea "hydrafoam" japo hayaitwi hivyo (hiyo ni brand name ya hao jamaa).
  Tofali hizi zina lock iliyoko straight (one way locking system) ambayo kiujenzi ina usumbufu mwingi ikiwa ni pamoja na kushindwa kujenga kona, intersections (makutano) na nguzo. Ndio maana utaona nguzo za zege n.k.
  Pia kama tofali ziko wazi kkwenye edge moja ya ukuta ni rahisi kuchomoa.... Angalia picha

  INTERLO6.JPG interlocking bricks.jpg


  Aina ya pili ni ile yenye multi locks au loki nyingi kuanzia mbili.
  1. Haya unaweza kujengea kuta, nguzo, makutano n.k bila kuweka zege au cement ya kuyashikia. Utaweka cement /(na nondo) pale unapotaka kuongeza uimara tu.
  Hii inawezekana kutokana na aina ya mshikamano ambao loki zake zimesanifiwa. -Angalia picha

  ceb-block_bigger.jpg compressed earth block.jpg Bild 419.jpg FIGURE43.GIF FIGURE41.GIF jimmy_carter_04.jpg
  Interlocking-Brick-Machine-SY-1.jpg filling-the-interlocking-block-wall-cavity.jpg P1030760.JPG
   
 16. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
 17. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mkuu kweli kabisa na ukitaka uhakika zaidi wasiliana na Halmashauri zifutazo zimewahi kununua machine hizo toka TATC NYUMBU :- Kwimba, Chunya kwa kila Tarafa machine moja, Kahama, Ukerewe n.k. zaidi kuna jamaa mmoja mfanyabiashara wa kwimba yeye ndiye aliwashutua Halmashauri ya Kwimba, nategeneza pesa si mchezo mpaka akaamua kuja kutengenza zingine kwa kuleta engine ya gari ili aweze kupiga mzigo usiku kucha.
   
 18. equivocal

  equivocal Member

  #18
  Nov 10, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  habar yako, nina mpango wa kununua Interlocking brick making machine - manual,naomba unielekeze kwa huyo fundi Kimara,ikiwezekana naomba mawasiliano yako,email yangu ni relax20ta@yahoo.com, ntashukulu kwa msaada wako
   
 19. O

  Original JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  This is very educative topic and infos. Kudos JF.
   
 20. b

  bigmukolo Member

  #20
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vp wajameni kwa hapa mwanza naweza pata hiyo mashine?
   
Loading...