Tanzania Educational Publishers (TEPU) ni kampuni inayotoa Elimu kwa Wakulima na Wafugaji kwa njia ya vitabu. Inakutangazia kitabu kipya cha Malisho ya Mifugo kwa Sh.10,000/= kwa mawasiliano...
PUNGUZO LA ASILIMIA 50 (50%): MAYAI BORA YA KWALE KWA SASA YANAPATIKANA KWA GHARAMA YA SH. 10,000/= TU KWA TREI YA MAYAI 30, WAHI OFFER HII SASA,
WASILIANA NA WAKALA WETU KWALE BORA KWA SIMU...
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Habari wana Jf, nina kijibustani changu hapa nyumbani nimepanda mboga chache, sasa nimegundua ni zaidi ya mara mbili au tatu, kila nikimwaga mbegu za mchicha sisimizi wanashambulia mara tu mchicha...
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Ndio.
Hiyo ndio hali halisi, hii ndio bei mpya ya mchicha kutoka viunga vya pale O'bay, adjacent na kota za polisi Oysterbay.
Fungu hilo lilikuwa likiuzwa ShT. 500/= katika kipindi cha mwezi...
HABARINI WANA JF....
mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biashara kamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo....
Kila kitu kina mwanzo wake...
Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa please
Ukimpeleka mgonjwa Hospitali ya Muhimbili, Amana au Mnazi mmoja we unapata faida gani? Au unalipwa nini? Jibu haupati kitu.
Je, unajua kama ukimpatia mtu matibabu ya afya unatakiwa ulipwe? Na...
Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza...
Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika...
wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya...