Funza kwa ajili ya mifugo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo … tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko – nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.
 
Adult stage ni wadudu gani?? inasaidia kujua kiwango cha proteins na wanazalaiana kwa kasi gani...
 
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo … tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko – nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.

Nahitaji mjuk mimi niko Kisenvule mkoa wa pwani.
 
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo … tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko – nitawatumia vichanganyio na fomula ya namna ya kutengeneza.
Mimi nahitaji sana.Nakupataje?
 
naomba hiyo formula
Je! EM solution inapatikana hapo ulipo?
Kama inapatikana, chukua em solution, changanya na mabaki ya uchafu wa jikoni yanayooza. After 3/5 days utakuta funza wa kutosha tena wenye afya, ambao wanawapa mifugo protein ya kutosha. Kwa maelezo zaidi kuhusu upatikanaji wa em solution, tuonane kunako PM,
 
Hiyo em solution ndio nini na inapatikana wapi
 
Back
Top Bottom