DomyG
Member
- Apr 18, 2012
- 8
- 5
Habarini za Mchana wana jamvi, samahani Nina maswala kadhaaa ningependa kuuliza na kupata ufafanuzi.
1. Ninawezaje kulifanyia survey shamba langu la miti ili nipate hati??
2. Ninaweza kupata mkopo kwa kupitia hilo shamba? Je ni njia gani nizifuate??
3. Thamani ya shamba la miti inategemea na sehemu lilipo?? Maana lipo mbali na mji.
Naombeni msaada