Huu Mradi wa ufugaji samaki ni sawa?

Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
4,049
5,513
Ninampango wa kuanzisha 'Project ya ufugaji wa samaki' kwa malengo yafuatayo;

1. Kupambana na uvuvi haramu unaoendelea katika mito na maziwa nchini Tanzania.
2. kuondokana na dhana ya vijana kuajiriwa na serikali kuu.
3. kuongeza upatikanaji wa rasilimali samaki kwa urahisi zaidi
4. Kujiongezea kipato ili kuendesha maisha
5. Kutoa fursa ya ajira kwa vijana iwapo mradi utakamilika.

Je, huu mradi waweza kuwa na tija?

Nakaribisha wadau kutoa changamoto za mradi ili nichukue tahadhari mapema. KARIBUNI!
 
Samaki dili sana mjini. Kwa wasatani wa bwawa la samaki 10 elfu utaona faida yake.
Binafs nina mpango wa kufanya mapema mwakan.
 
Ninampango wa kuanzisha 'Project ya ufugaji wa samaki' kwa malengo yafuatayo;

1. Kupambana na uvuvi haramu unaoendelea katika mito na maziwa nchini Tanzania.
2. kuondokana na dhana ya vijana kuajiriwa na serikali kuu.
3. kuongeza upatikanaji wa rasilimali samaki kwa urahisi zaidi
4. Kujiongezea kipato ili kuendesha maisha
5. Kutoa fursa ya ajira kwa vijana iwapo mradi utakamilika.

Je, huu mradi waweza kuwa na tija?

Nakaribisha wadau kutoa changamoto za mradi ili nichukue tahadhari mapema. KARIBUNI!
Lengo lako ni angalizo #4. Mengine uliyoeleza hapo ni siasa.
 
changamoto kubwa ni eneo. na aina ya Samaki utaowafuga. other wise point namba 2 had mwisho ndio lengo lako kuu na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom