Naomba kujuzwa na yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara ya Udobi

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
Jamani wadau naomba mwenye experience kuhusu udobi anijuze bei za laundry machine na bei za kufua nguo aina tofauti.
Ikiwezekana anipe ujuzi wa uendeshaji wa biashara hiyo.

Asanteni
 
Iron woman, tafadhali ningependa kujua umefikia wapi na hii idea maana hata mimi I was thinking the same thing since the beginning of last year.
 
Back
Top Bottom