Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 433
Natumai mu wazima.
Naulizia kwa mkoa wa Arusha ni maeneo gani naweza pata shamba la kuanzia ekari 30 kwa ajili ya kulima mahindi.
Hata kama kuna anayejua na mkoa wa Manyara pia naomba anijuze.
NB: Nataraji kulima msimu ujao wa mvua.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app