Nisaidieni Madokta wa mifugo

Nisaidieni Madokta wa mifugo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,825
Reaction score
101,010
Jamani ngo'mbe wangu anashindwa kutembea. Alikuwa ameanguka wiki mbili nikampa chumvi na injection ya gluconate akaamuka. jana mchungaji akampeleka milishoni akakaa chini haamki ingawa anakula kama kawaida . Nifanyeje, please
 
Acha ubahiri mkuu ita afisa mifugo wa karib na eneo lako akuattend
 
Acha ubahiri mkuu ita afisa mifugo wa karib na eneo lako akuattend
Siyo ubahiri. Lazima kusaka mawazo pote, dakitari yuko mbali natafuta first aid wakati namsubiri daktari
 
Siyo ubahiri. Lazima kusaka mawazo pote, dakitari yuko mbali natafuta first aid.
Amezaa hivi karibuni?? Haitakiwi ku advise nini kifanyike kama hujapata detailed history ya mnyama otherwise mtu atatoa wrong solution...ndio maana nakusihi umuite mtaalam aliejiran yako
 
Siyo ubahiri. Lazima kusaka mawazo pote, dakitari yuko mbali natafuta first aid.
Hapo haitakiwi first aid tena maana umeshaitoa, mtafute huyo wa mbali aje akutibie! Otherwise jiandae kumpoteza huyo mnyama wako
 
Amezaa hivi karibuni?? Haitakiwi ku advise nini kifanyike kama hujapata detailed history ya mnyama otherwise mtu atatoa wrong solution...ndio maana nakusihi umuite mtaalam aliejiran yako
Yes amezaa sasa mwezi wa pili. Mtaalamu anakuja na amekuwa kimtibu.
 
Kwa kuwa apetite ipo vizuri hatakua na homa hapo huenda ikawa mwendelezo wa upungufu wa madini ya magnesium,calcium na phosphorous ijapokuwa alishapata drip wakati alipozaa na kushindwa kusimama.ilitakiwa baada ya hapo aendelee na mchanganyiko wa madini ya dicalcium phosphate (DCP) kwenye pumba pia supplementation ya vitamins na huduma mbalimbali kama dawa za minyoo.ila ni vizuri mwite mtaalam aweze kumkagua kwa karibu na ikiwezekana amtundikie drip tena.ila be careful anavyozidi kukaa chini ndo anavyozidi kupata paralysis na hataweza kuamka tena .kama kuna possibility ya kumnyanyua asimame kwa mda itakua vizuri.kila la kheri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom