Special namba za tigo-pesa na m-pesa kwa online business! Please!

Mpeni sifa Yesu

JF-Expert Member
May 23, 2010
646
129
WAJAMENI, KWA ANAYEJUA, nimekuwa nikitaka kujua namna ya kupata namba special za kuuza na kununulia vitu online kutoka kwa vodacome na tigopesa, ambapo watu wanaweza kununua vitu kwangu na mimi naweza kuwauzia vitu vyangu online na vodacome kupata commission yao....naomba kwa anayejua anielekeze how does it work, how to get the number pale kwenye kampuni, kama wanatoa namba hizo kwa individual persons au hadi iwe kampuni etc. NATANGULIZA SHUKRANI.
 
mi nadhani kama uko dar panda gari mpaka mlimani city kuna mananda yao pale waulize kwa maelezo zaidi mkuuu
 
WAJAMENI, KWA ANAYEJUA, nimekuwa nikitaka kujua namna ya kupata namba special za kuuza na kununulia vitu online kutoka kwa vodacome na tigopesa, ambapo watu wanaweza kununua vitu kwangu na mimi naweza kuwauzia vitu vyangu online na vodacome kupata commission yao....naomba kwa anayejua anielekeze how does it work, how to get the number pale kwenye kampuni, kama wanatoa namba hizo kwa individual persons au hadi iwe kampuni etc. NATANGULIZA SHUKRANI.
ulipata jibu lako kiongozi? someone was asking about hii kitu pia, i also need to knew more about it.
 
Back
Top Bottom