Inawezekana kabisa humu jf Kuna wataalamu wa Kilimo tena ni wabobezi katika sekta hiyo.. Nimeona Kuna watu humu wanaomba msaada wa kuzalisha baadhi ya mazao, Mfano maharage, mihogo..nk. Cha kushangaza Uzi wa namna hiyo hakuna majibu au anaweza kujitokeza mmoja tu basi. Maana yake ni kwamba watu wenye taaluma hiyo hawatoi msaada wa kutosha kwa wakulima, au watu wanaotaka kuingia katika Kilimo. Hivi tutafika kweli katika uchumi wa viwanda??
Maoni yangu tutumie jukwaa hili katika kutoa elimu ya Kilimo hasa pale panapotokea muhitaji au Uzi wa mambo ya Kilimo Uwe unaanzishwa kukiwa na masomo ya Kilimo na watakao kuwa tayari wanaweza kukufatilia..
Najua humu wapo wataalamu waliosoma cozi mbalimbali za Kilimo katika vyuo mbalimbali hata wapo wenye levo mbalimbali za elimu hiyo kuanzia chet, diploma, degree, masters hata PhD na professor.
Sent using Jamii Forums mobile app