Sino Poultry Farming Products; Incubators, Chicken Cages etc

Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
852
1,159
Habari za Majukumu wadau wa sekta ya kilimo.

Kumekuwa na post mbalimbali kutoka kwa wadau wa ufugaji wakiulizia vifaa mbalimbali vinavyohusiana na ufugaji kwa ujumla wake. Kuna wengi wamejitokeza kuulizia kuhusu incubators za uhakika. Kuna ambao pia wamejitokeza kulalamika kuhusu matokeo mabovu ya incubators zao wanazotumia kwa sasa.

Wekeza sasa kwa kununua products zetu ambazo ni za kuaminika na zinatumiwa nchi mbalimbali hapa duniani na zikileta matokeo bora zaidi. Kwenye upande wa incubators utotoaji umefikia asilimia 98 kwa nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania ambapo products zetu zinapatikana.
Waweza kuagiza moja kwa moja kupitia mtandao wa alibaba.com ama
196-egg-incubator-model-oci-120-oci-120-6d4d
. Hapa pia niwajuze wale wenzangu wa kuorder online, kuna kila aina ya supplier wa hizi products kuna bidhaa utanunua kutokana na unafuu zaidi lakini hutoitumia zaidi ya miezi sita na tumekutana na Watanzania wengi ambao wameshalizwa kwa njia hiyo lakini kwa wale wote ambao wameagiza kutoka kwa Sinopfe wanaendelea kutabasamu.

Orodha ya Bidhaa unazoweza kupata kwetu ni,

1. Automatic Incubators za ukubwa tofauti tofauti
2. Chicken Cages
3. Automated Feeding & Drinking System
4. Feed Mixer, Feed Extruder, Pellet Machine
5. Poultry Pluckers etc

15094849_204067263376408_5830942981006378269_n.jpg

14502966_165117490604719_4362027546585904291_n.jpg

Moja kati ya incubator zetu, hatubahatishi!!

14449983_165784733871328_3860398151031195079_n.jpg


15826832_233024970480637_5907868402690124139_n.jpg

Mzigo ukipakizwa kutoka kwenye kiwanda chetu mjini Wuxi, China

13921087_106497563133379_2628718938969063466_n.jpg

Baadhi ya Bidhaa zetu zikiwa zimefika nchini kwa wateja wetu nchini Tanzania

Pia tunafanya installments za hatchery (mashine kubwa za utotoleshaji ), Automatic feeding and drinking systerms kwenye project mbalimbali za ufugaji. Tembelea website yetu Poultry Incubator|Egg Incubators|Chicken Cages Manufacturer kufahamu mengi kuhusu bidhaa zetu.
Nipigie 0717 810141 kwa mawasiliano ya haraka.

Tutakusaidia kutoa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa haraka na kwa bei nafuu zaidi pamoja na kukufikishia ulipo mpaka mlangoni mwako. Kwa makadirio ya ushuru na gharama zote kabla ya kuagiza mzigo tuwasiliane. Kwa ununuzi wa haraka wa hapa hapa nchini nitakukutanisha na suppliers wa bidhaa original za Sinopfe wanaopatikana Tanzania.

Tupo kwenye Maonyesho ya Sabasaba na kuna offer kabambe kwenye msimu huu saba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom