Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

Buntungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
549
Reaction score
310
Twamshukuru mungu tumeanza mwezi mtukufu kwa amani,mie ni mfanya biasha wa nguo za watoto na wakubwa naomba mtu anae weza nikopesha pesa bila riba,nashida ya milioni moja nitarudisha baada ya miezi 2 utaniuliza kwa nini sijaenda benk?benk wanatoza riba mie sitaki pesa ya riba nisaidieni ndugu zangu"swaum njema
 
Mkuu, mkopo bila riba unaweza kupata kwa wanafamilia au marafiki wa karibu. Jaribu kuwa na mawasiliano kwa wanaokufahamu zaidi. Ila in future ni vyema kufanya biashara na benki zitakusaidia sana. Usiziogope.
 
asante kwa ushauri wako ,je waijua benk yenye riba ndogo?
napenda sana kukopa benk ila riba zao ndio mbaya,i
 
KBC kuna kitengo cha Islamic Banking kuna mikopo bila riba.
 
Hi kwa zama hizi hata ndugu kutoa pesa inanuwa ngumu kutokana na uaminifu. Ni better ukaenda bank kuna Islamic Banking nyingi hazitozi riba ila kuna charges
 
Twamshukuru mungu tumeanza mwezi mtukufu kwa amani,mie ni mfanya biasha wa nguo za watoto na wakubwa naomba mtu anae weza nikopesha pesa bila riba,nashida ya milioni moja nitarudisha baada ya miezi 2 utaniuliza kwa nini sijaenda benk?benk wanatoza riba mie sitaki pesa ya riba nisaidieni ndugu zangu"swaum njema
Ulipata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom