Habari wana jf,nimekua msomaji wa mada mbalimbali hapa jukwaani na nimenufaika kwa kiwango kikubwa.kupitia elimu nilioipata jf nilianzisha mradi wa kufuga samaki bwawani.nina bwawa la sment ambalo...
Nimekwenda kwa shamba langu Leo jioni kutazama maendeleo ya zao langu niliyo yakuta ni hao viwavi, dawa gani nitumie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita.
Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza...
Karibuni farmas centre ilala Amana.kutana na doctor wa mifugo (veterinarian) kwa Ushauri bure kabisa njinsi ya ufagaji WA kuku aina zote. Utasikilizwa na utapewa Ushauri bure kabisa. Ukifika...
Tofauti na TADB inayohitaji vikundi vya muda mrefu kuanzia miaka mitatu kuvikopesha. Ni taasisi gani nyingine za kifedha zinazokopesha vikundi vya wakulima Tanzania? Mwenye kujua atufahamishe.
Hi great thinkers Leo tangu asubuhi tunakurupushana na haka kajike ka ng'ombe hakataki kupandwa kanavunja miti tuliyoweka ili kapigwe dushelele.Tatizo nini?
Habari wadau wa kilimo,
Nina shamba langu sumbawanga kanondo ekari 7 kutokana na majumu kubana sitoweza kwenda kulilima hivyo kwa mwenye kuhitaji kulima tuwasiliane nimpe alime.
Asante!!
Habari wakuu,
Kwa wale wenzangu wa kusini na wakulima wa korosho a. k. a "makinikia ya kusini" kwa ujumla naomba tujumuike kujuzana changamoto mbalimbali katika msimu huu, ikiwemo upatikanaji wa...
Serikali imeombwa kuwekeza fedha katika utafiti wa mbegu za mafuta ikiwemo Alizeti na Ufuta, badala ya kuwategemea wafadhili ambao licha ya kugoma kuwekeza katika mazao hayo wamekuwa na masharti...
kwa mfano mahindi ukilima kwenye kichuguu yanakubali sana hata bila kuweka mbolea.
Kwa kupitia hilo nilienda kijiji kimoja hivi hapa tanzania nikakuta wanatumia udongo wa kwenye kichuguu kama...
Natafuta MTU wa kuweza kushirikiana tuanzishe kilimo cha umwagiliaji ,hususani kilimo cha matunda Na mbogamboga nataka MTU ambaye yuko makini Na anafahamu kilimo ili tufanye kilimo chenye tija.
Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna.
Natanguliza shukrani.
Wanakijiji naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kusafisha kuku wa nyama wakishachinjwa na kuwakausha vizuri ili wasibakie na majimaji ya damu kabla ya kufungasha, kwani yale maji maji...
Habari zenu.Natumai mu wazima wa afyà,kama kichwa kinavyoeleza nahitaji kufahamu kuhusu mbegu bora inayostahimili magonjwa na kutoa mazao mengi ya muhogo.
Mwezi nimeanda shamba la ekari 5 nataka...
HOFU INAVYO TUGHALIMU KWENYE SAFARI YA UJASIRIAMALI
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapenda kuwa kama Mengi siku moja. Tunavyokuwa tunaendelea kutamani kuwa kama wakina...
Wakuu nataka kufanya kilimo cha bustani maeneo pwani huko, mazao yatakuwa Nyanya na Pilipili Hoho
Nachohitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia kuweka kwenye Vitalu au Viriba ili kuzuia miche...
Wadau,
Ninatafuta mtu aliyesajiri chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji NACTE au VETA naomba kuwa wakala wake mkoa wa Mbeya. Ina make profit sana. Naomba tuwasiliane kwa PM
Nipo tayari muda...