Msaada kutenga kuku wasiotaga

Time Traveller

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
351
500
Habari za wakati huu wajasiriamali,

Mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai (Layers) . Kuku wangu wana mwaka na miezi miwili. Nataka mpaka sasa wanataga asilimia 80% tu. Nina mpango wa kuwaondoa kuku wasiotaga.

Sasa naomba mnielekeze njia za kuwatambua ni zipi?
 
ikinyunyi

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,067
2,000
Habari za wakati huu wajasiriamali,

Mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai (Layers) . Kuku wangu wana mwaka na miezi miwili. Nataka mpaka sasa wanataga asilimia 80% tu. Nina mpango wa kuwaondoa kuku wasiotaga.

Sasa naomba mnielekeze njia za kuwatambua ni zipi?
Swali zuri....
 
Nov 27, 2017
30
95
bcaf11a1bd433398fe9b79f90803d163.jpg
 
songoros

Senior Member
May 26, 2012
148
225
Habari za wakati huu wajasiriamali. Mimi ni mfugaji Wa kuku Wa mayai (Layers) . kuku wangu wana mwaka na miezi miwili. Nataka mpaka sasa wanataga asilimia 80% tu. Nina mpango Wa kuwaondoa kuku wasiotaga sasa naomba mnielekeze njia za kuwatambua ni zipi?
kitaalam kuku akifika miezi kumi na nane ni vizuri kuwa ondoa na kuleta wengine.
Kwahiyo kitaalam nakushauri wape carogold iliuwauza kama broiler and then ulete vifaranga wengine
 
Nov 27, 2017
30
95
Kitaalamu hilo swala LA kuwaondoa kuku ambao hawazalishi huitwa CULLING.its done especially where the average flock egg production is not very high,.,katika mchoro huo,kushoto ni kuku ambaye anazalisha/anataga,kulia ni kuku ambaye hatagi hvyo ni vyema kumuondoa kundini.kumgundua kuku ambaye anataga na ambaye hatagi ni rahisi sana kama mchoro unavyojieleza hapo juu,,good layers should have room for two or three fingers between pubic bones and four finger between pubic bone and breast bone
 
Kitaalam pia culling kwa kuku tunashauri all out and all in. Kwanini
Ufugaji wa Kiafrika sio moden. Nchi za wenzetu kuku wanougua typhoid option hua ni slaughter all flock na serikali ina compesate.ila kwa Afrika hasa tu tujaribu ila kiukweli kuku hubaki carrier.yaan wanabaki na vijidudu vya typhoid na kuvisambaza bandani.kwa hiyo ili kuondoa vimelea hivyo tunashauli kuku wakianza kupunguza kutaga baada ya mwaka na nusu mtu aweke plan ya kuwauza woote asafisha banda kwa disinfectant hasa virid then aingize vifaranga wapya.
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,385

Kizungu kiiingi..michoro na ramani nyiiingii kama unatuandaa kufanya mtihani bana wakati swali simple tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom