Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

Status
Not open for further replies.

kilimomaarifa.tajiri

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
574
409
KIONGOZI SORRY KWA KUDELAY KUKUJIBU.

HIKI KITUNGUU SAUMU...SINA TAARIFA NACHO

NASKIA TU MTAANI WANASEMA KINALIPA, BEI NZURI ETC?/.. LAKINI WAPO WANAOSEMA NI KILIMO CHA KUCHOSHA SANA MAANA HASA MBEGU ZA KUTOSHA EKA MOJA NI ZAIDI YA GUNIA 5 ETC..., NA KWA BAHATI MBAYA KAMA SIJAKOSEA NCHINI HAPA HAKUNA HYBRID VARIETIES MPAKA SASA, KWA HIYO MBEGU NI ZA KUNUNUA VITUNGUU VILEVILE.

BEI YAKE CURRENTLY KWA SOKO LA KIRUMBA MWANZA NI TSH 25,000 KWA GUNIA LA KILO 50

WAKARIBIE WALE WENYE TAARIFA ZAIDI KUHUSU KILIMO HIKI ETC.
 
NEWS; NEWS, NEWS.......
BAADHI YA BEI ZA NYANYA KATIKA MASOKO MBALI MBALI NCHINI-TANZANIA .24/02/2016

1.Dodoma Kreti la Kilo 40=37000tsh
2.Mwana kwerekwe -Zanzibar Kreti la Kilo 40=40,000tsh
3.Mwanjewa-Mbeya -Tenga la kilo 35=tsh 22000
4.Morogoro Soko kuu, Kreti la kilo 40=47000tsh
5.Kariakoo Kreti la kilo 40= tsh 30000
6.Arusha Tenga la kilo 40=tsh 35000
7.Makambako Kreti la Kilo 40=tsh 30,500

Bei hizi ni kutoka vyanzo mbalimbali, zaweza kubadilika muda wowote. Jiridhishe kwanza kabla ya kuuza au kununua mzigo (Nyanya)

=====================
 
BEI ZA TIKITI LEO 24/02/2016

1.KIRUMBA -MWANZA TIKITI MOJA LA KILO 1 NI TSH 750
2. MAKAMBAKO-NJOMBE-TIKITI MOJA LA KILO 1 TSH 2220
3. LUSHOTO TANGA-TIKITI MOJA LA KILO 1 TSH 2000
4. MWANAKWEREKWE ZANZIBAR, PISI MOJA YA KILO 1 TSH 1500
5. DODOMA TIKITI 1 LA KILO MOJA NI TSH 2260
6.KARIAKOO TIKITI MOJA LA KILO 1 NI TSH 1000
7. MOROGORO TIKITI MOJA LA KILO 1 NI TSH 2000
8. KILOMBERO-ARUSHA TIKITI MOJA LA KILO 1 TSH 2000
 
TAHADHARI

Kabla ya kuwekeza pesa zako katika kilimo, fanya tafiti kwanza juu ya mambo machache ya msingi/Jiulize maswali yafuatayo

1. Unayo maarifa ya kutosha na sahihi juu ya kilimo/zao unalotaka kulima??

2. Unajua mahali pa kwenda kuuzia mazao yako na unajua msimu sahihi wa kuingiza mazao yako Sokoni??

3. Unataarifa sahihi juu ya gharama na changamoto za kilimo unachotaka kufanya??

4.Umeanzia sokoni kujua soko linahitaji bidhaa za aina gani (Rangi, Ukubwa, etc)??

5. Unamtaji wa kutosha wa kufanya shughuli hizo??

6.Umejiandaa vya kutosha (Muda) juu ya kusimamia shamba lako tangu Kuandaa kitalu mpaka kuvuna na kufikisha mazao/mavuno sokoni??

KAMA UNAONA HUJAWA VIZURI KATIKA MASWALI HAYO HAPO JUU BASI, TAFADHALI, USIPELEKE PESA ZAKO SHAMBANI, MAANA UWEZEKANO WA KUPATA HASARA NI ZAIDI YA 85%
 
Asante kwa kutukumbusha hatua muhimu sana. Uendelee kubarikiwa.
 
MBOLEA ZA KUPANDIA ZITATAKIWA,

MBOLEA, KAMA DAP, AU NPK (17:17;17), YARA MILLER WINNER,TSP, MAP, ETC

KILA MCHE UPATE ANGALAU GRAM 10 ZA MBOLEA SIKU YA KUPANDA

NI VYEMA UKATIBU UDONGO WAKO KWA KUTUMIA FUNGICIDES, ILI KUPUNGUZA UWEZEKANANO WA DUMPING OFF (MICHE KUFA WAKATI UTAKPOIPANDIKIZA), AU KUNYAUKA (BLIGHT-FUNGUS/BACTERIA).TUMIA DAWA KAMA AGRIFOS 400, AU FUNGURAN (COPPER), MIX GRAM/MLS 25 ZA DAWA KWA MAJI LITA 15 KISHA SPARY KATIKA YALE MASHIMO UTKAYOPANDA MICHE ONE DAY BEFORE KUPANDA.

Habari mkuu!!!
Ile miche ya hoho by next week ntaanza otesha shamban kutoka kwenye kitalu!!! Je kuna dawa kupiga au mbolea ya kuweka wakati napanda(aina na kiwango) ili nisipate maswaibu shambani???
 
Habari mkuu. Kuna baadhi ya miche yangu hapa shambani imeanza kunichanganya.. Ngoja niweke picha. Naomba ushauri mkuu
 
Attachments

  • IMG-20160229-WA0014.jpg
    IMG-20160229-WA0014.jpg
    94.7 KB · Views: 640
  • IMG-20160229-WA0011.jpg
    IMG-20160229-WA0011.jpg
    94.1 KB · Views: 557
  • IMG-20160229-WA0014.jpg
    IMG-20160229-WA0014.jpg
    94.7 KB · Views: 439
  • IMG-20160228-WA0016.jpg
    IMG-20160228-WA0016.jpg
    70.7 KB · Views: 488
Kiongozi hope umenipata, kutokana na hizo sababu nilizokwambia za chanzo cha huo ugonjwa , CHA KUFANYA ngiza tu maji mengi plain tusiweke chochote mbolea et al), then juu tafuta Dudu all (dawa ya dudu) Spray. Shida ikiendelea basi tutahitimisha kwa kujua hiyo ni shida ya Tomato Plant Leaf Curl Virus mbayo huenezwa na White flies (vipepeo wadogo weupe). Tiba yake ni kuondoa tu hiyo miche iliyoathirika na kuifukia mbali kuzuia kuambukizwa kwa mimea mingine, maana badae hayo majani yatakuwa ya njano, yanaendelea kujikunja kuja juu, lakini pia matunda mengi yatakayozalishwa na hiyo miche yatakupukutika na kuoza kabla ya muda wake wa kukomaa!! ,

Habari mkuu. Kuna baadhi ya miche yangu hapa shambani imeanza kunichanganya.. Ngoja niweke picha. Naomba ushauri mkuu
 
Ni mbegu gani za mahindi za muda mfupi zilizo bora
Na inapatikana wapi?
 
-NIKO SALAMA KIONGOZI
-SINA HAKIKA KAMA ZIPO HIZO MBEGU
-ILA KWA TAARIFA YAKO NI KUWA HATUSHAURI SANA UPANDE MAZAO YA KUTAMBAA NDANI YA GREEN HOUSE, TUNASHAURI ZAIDI PANDA MAZAO YA KWENDA JUU (MATANGO, NYANYA, HOHO ETC) NDANI YA GREEN HOUSE ILI UMAXIMIZE ENEO NA PRODUCTION (HIGH YIELDS Vs SMALL AREA) .
-LABDA KAMA UNA GREEN HOUSE KUBWAAA SANAA, LAKINI KWA HIZI ZA KIBONGO BONGO ZA 8M X 15M, AU 20M X 20M.. TUNASHAURI ZAIDI TAFUTA MAZAO YANAYOENDA JUU SI YA KUTAMBAA
..
sasa mkuu siwanasema matango lazima yachavushe na nyuki sasa ndani ya greenhouse yatachavhshwa vip
 
MBEGU ZINAZOTUMIKA KATIKA GREEN HOUSE LAZIMA ZIWE HYBRID (F1), HIZO HAZITEGEMEI UWEPO WA WADUDU ILI KUWA POLILNATED, NYINGI ZINAZOTEGEMEA WADUDU NI HIZI ZINAZOITWA OPV-OPEN POLLINATED VARIETIES, HIZO SI BORA KAMA HYBRID (F1) , HIZO AINA YA OPV NDIZO HUWA TUNAPANDA KATIKA MASHAMBA YETU YA KAWAIDA OPEN FIELD.
sasa mkuu siwanasema matango lazima yachavushe na nyuki sasa ndani ya greenhouse yatachavhshwa vip
 
KWA MSAADA ZAIDI FIKA KATIKA MADUKA YA KILIMO WATAKUWA NA AINA NYINGI ZAIDI ZA MBEGU MAANA KUNA MAKAMPUNI ZAIDI YA 5 MAKUBWA YANAYOZALISHA MBEGU ZA MAHINDI HAPA NCHINI. HAPA NITAKUPA BAADHI TU YA AINA YA MBEGU ZA MUDA MFUPI NINAZOSIJUA. UKIPATA MUDA KUTEGEMEA NA ENEO ULILOPO TAFUTA WAKALA WA MAKAMPUNI KAMA KIBOSEED, EAST AFRICAN SEED, PANNAR, SEEDCOL ETC WATAKUPATIA MBEGU HIZO

1.KATUMANI/KITO
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa maeneo ya muinuko hadi mita 750 toka usawa wa bahari.Hutoa gunia 30 za kilo 90 kwa eka1

2. KITALE H513
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa ukanda wa pwani, au kanda ya ziwa-Huzalisha gunia 25 za kilo 90@ kwa eka 1

3.KITALE PH4
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa meneo yenye joto, na hata yenye unyevu mwingi.Hutoa gunia 22 za kilo90@ kwa eka 1

4.KITALE DHO4
Hukomaa baada ya siku 75-Hufaa maeneo yenye uhaba wa mvua, Hutoa gunia 18, za kilo 90@ kwa eka 1

5.Zipo zinazokomaa kwa muda wa siku 110 hadi 120
Nazo ni a. Kilima/UCA Hutoa gunia 22 kwa eka 1 zenye kilo 90@ b. Staha hutoa gunia 25 kwa eka 1 zenye kilo 90@ c. TMV-1 etc hutoa gunia 25 zenye kilo90@

Ni mbegu gani za mahindi za muda mfupi zilizo bora
Na inapatikana wapi?
 
Habari ndugu. Hapa kahe kuna vipepeo wengi wameibuka. Vipepeo wa kawaida tu. Bado sijaona effect kwenye miche shambani. Je wanaweza leta matatizo shambani.
Mkuu Yara miller winner 15-9-20 inafaa kukuzia?
Leo nimefanya mahesabu ya makadirio.. Shamba lina matuta 136 ambayo yameingia mashimo 163 hivi kila tuta. Kwa maana hiyo kwa hesabu za haraka nimefanikiwa kutoa takribani miche 22,168 kutoka kwenye zile gram 60 za eden. Na bado kuna miche midogo midogo kadhaa iliyobaki kitaluni ambayo naitunza kuzima magap yatakayojitokeza.

Wasalaam
Mkuu mambo vp, kahe sehemu gani, nyumbani hapo,
 
Kiongozi hope umenipata, kutokana na hizo sababu nilizokwambia za chanzo cha huo ugonjwa , CHA KUFANYA ngiza tu maji mengi plain tusiweke chochote mbolea et al), then juu tafuta Dudu all (dawa ya dudu) Spray. Shida ikiendelea basi tutahitimisha kwa kujua hiyo ni shida ya Tomato Plant Leaf Curl Virus mbayo huenezwa na White flies (vipepeo wadogo weupe). Tiba yake ni kuondoa tu hiyo miche iliyoathirika na kuifukia mbali kuzuia kuambukizwa kwa mimea mingine, maana badae hayo majani yatakuwa ya njano, yanaendelea kujikunja kuja juu, lakini pia matunda mengi yatakayozalishwa na hiyo miche yatakupukutika na kuoza kabla ya muda wake wa kukomaa!! ,
Nimekupata barabara mkuu... Ngoja tupambane tuone
 
MBEGU ZINAZOTUMIKA KATIKA GREEN HOUSE LAZIMA ZIWE HYBRID (F1), HIZO HAZITEGEMEI UWEPO WA WADUDU ILI KUWA POLILNATED, NYINGI ZINAZOTEGEMEA WADUDU NI HIZI ZINAZOITWA OPV-OPEN POLLINATED VARIETIES, HIZO SI BORA KAMA HYBRID (F1) , HIZO AINA YA OPV NDIZO HUWA TUNAPANDA KATIKA MASHAMBA YETU YA KAWAIDA OPEN FIELD.
safi mikuu
 
KWA MSAADA ZAIDI FIKA KATIKA MADUKA YA KILIMO WATAKUWA NA AINA NYINGI ZAIDI ZA MBEGU MAANA KUNA MAKAMPUNI ZAIDI YA 5 MAKUBWA YANAYOZALISHA MBEGU ZA MAHINDI HAPA NCHINI. HAPA NITAKUPA BAADHI TU YA AINA YA MBEGU ZA MUDA MFUPI NINAZOSIJUA. UKIPATA MUDA KUTEGEMEA NA ENEO ULILOPO TAFUTA WAKALA WA MAKAMPUNI KAMA KIBOSEED, EAST AFRICAN SEED, PANNAR, SEEDCOL ETC WATAKUPATIA MBEGU HIZO

1.KATUMANI/KITO
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa maeneo ya muinuko hadi mita 750 toka usawa wa bahari.Hutoa gunia 30 za kilo 90 kwa eka1

2. KITALE H513
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa ukanda wa pwani, au kanda ya ziwa-Huzalisha gunia 25 za kilo 90@ kwa eka 1

3.KITALE PH4
-Hukomaa baada ya siku 90, hufaa meneo yenye joto, na hata yenye unyevu mwingi.Hutoa gunia 22 za kilo90@ kwa eka 1

4.KITALE DHO4
Hukomaa baada ya siku 75-Hufaa maeneo yenye uhaba wa mvua, Hutoa gunia 18, za kilo 90@ kwa eka 1

5.Zipo zinazokomaa kwa muda wa siku 110 hadi 120
Nazo ni a. Kilima/UCA Hutoa gunia 22 kwa eka 1 zenye kilo 90@ b. Staha hutoa gunia 25 kwa eka 1 zenye kilo 90@ c. TMV-1 etc hutoa gunia 25 zenye kilo90@
Nahitaji kiasi gani cha mbegu kwa ajili ya Ekari 30 Za Mahidi

Might is not right
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom